News
Loading...

Ajali yazusha msururu wa magari


Taxi hii ndiyo iliyomgonga mwendesha pikipiki
Leo hii tukiwa katika bus linalotupeleka Kunduchi Beach Hotel mara tukanasa katika foleni maeneo ya ya Kawe mara tu baada ya round about ya Kawe Beach ambapo habari tulizozipata ni kuwa taxi inayoonekana pichani ilimgonga mwendesha piki piki ambaye aliumia mguu wa kulia lakini alipatiwa msaada na taxi hiyo hiyo kukimbizwa Hospitali. Nasi tuliweza kuendelea na safari yetu ya kuelekea Kunduchi kabla mhanga huyo kupelekwa hospitali.
Msururu huu  ulisababishwa na ajali hiyo.

Msururu Msururu msururuuuuu!


FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :