News
Loading...

Baucha records wajipanga kutoka upya!


Kampuni ya utayarishaji wa muziki ya Baucha records inajipanga kutoka upya baada kuwa kimya kwa muda mrefu. Akiongea na blogu hili Ally Baucha ambaye ndiye mmiliki wa kampuni hiyo iliyoanza kufanya kazi ya utayarishaji wa muziki mwaka 2002 alisema kuwa kwa sasa studio yake imepanga kumtoa msanii K-ONE ambaye mpaka sasa amekamilisha albamu yake yenye nyimbo nane na itakayoitwa Sina uhakika ambayo ndiyo pia single ya kwanza itakayotoka. Single hiyo kwa sasa ipo mbioni kufanyiwa video na Eryn Epidu kupitia kampuni yake ya SHOW BIZ DEVINE.
Msanii K-ONE silaha mpya ya Baucha records.


FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :