News
Loading...

Safari ya kunduchi Beach Hotel !


Kutoka kushoto ni Omar Baraka na Salim Bawazir.
Hapa ni leaders club Kinondoni ambapo wadau mbali mbali wa muziki nchini Tanzania walikutana leo  mida ya saa tatu asubuhi kueleka Kunduchi Beach Hotel ambako ndipo unafanyika uteuzi wa wawaniaji wa tunzo hizi za Kilimanjaro.
Ally Baucha Records,Hadija Kalili na Omari Baraka

Baucha na Salim Bawazir wakiwa Leaders club 

Mdau wa muziki akiwa na Baucha na Abby Mwaipaya.

Dida Mchops, Poti Poti na Dj Makay

Mdau wa muziki Bi Adelah,


FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :