News
Loading...

Happy Valentine mwaka huu ni jumatatu!


Kwa wadau wa Valentine hiki ni kipindi cha kujiandaa na vijizawadi kama hivyo hapo chini ili kunogesha siku yao muhimu katika mapenzi yao. Hasa ukitilia maanani kuwa mwaka huu maadhimisho ya siku hiyo yatakuwa jumatatu ya tarehe 14. Hivyo sidhani kama wadau watakula bata kwa sana, ila nafikiri watakwenda migahawani kwa dinner na mvinyo mwekundu kisha warudi home kupumzika kujiandaa na kazi kesho yake. Hapo chini ni baaadhi tu ya vizawdi ambavyo mdau unaweza mnunulia mpenzi wako kama zwadi ya maadhimisho ya siku hiyo ya wapendanao duniani.FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :