News
Loading...

Tujengeeni hili daraja!Kampuni moja inayojenga barabara ya kuunganisha Kinondoni Msisiri na kwa Kopa inatuhumiwa kuvunja daraja hilo hapo chini pichani. Ma buldoza ya kampuni hiyo yamekuwa yakipita katika darja hilo mara kwa mara na hivyo kuvunja daraja hilo kwa wawamu mbili tofauti, takriban siku kumi zilizopita buldoza hilo lilipita darajani hapo na kuvunja sehemu ya kati ya daraja hilo dogo, na baada ya wiki moja baadae likapita tena na kuvunja tena upande wa kulia wa daraja hilo. Haielekei kuwa wana mpango wowote wa kulijenga daraja pamoja na malalamiko kufikishwa kwa mwenyekiti wa mtaa huo wa Dunga Bw Mkandu ambaye aliahidi kulishuhulikia suala hilo bado watumiaji wa barabara hiyo wamekuwa wakipita hao kwa taabu na mashaka.
Hili ni daraja linalounganisha eneo la Bwawani na eneo la FAO
Barabara hii ndiyo ijengwayo na kamuni hiyo

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :