News
Loading...

He huyu kaka vp?


Jana nikiwa Kariakoo nikashuhudia jambo la kushangaza kidogo, Katika picha kushoto anaonekana jamaa ana t-shirt nyekundu mbele yake kuna mwanamume kisha pana mwana dada aliyevalia suruali na top nyeusi, tazama picha ya chini, jamaa alimkimbilia huyu dada na kung'angania amsalimie kwa kumshika mkono dada hakukubali na jamaa akaendelea kumfuata huku akiendelea kumuomba. Sielewi kwa nini alifanya hivyo lakini dada huyo Mashallah hakuonekana kukerwa na jambo hilo, tena alionesha kutoa tabasamu la nguvu ikafikia watu waliokuwa pembeni wakaanza kushangilia kama mpira vile, si mnaijua Kariakoo? Ulaya unaweza kwenda jela kwa kum harass mtu mke kama hivi!


FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments :

Anonymous said...

HUYU DADA KAFUNGASHA KIZIGO SI MCHEZO WALLAH HATA MIMI NINGEMSUMBUA