News
Loading...

Kumradhi wadau wangu!


Mkala Fundikira.
Kumradhi wadau wa blogu hili, kama mmekuwa mkiingia humu mara kwa mara katika kipindi kisichopungua takriban siku saba hivi zilizopita mmeona hakuna makala zozote mpya nilizoweka na hii imetoka na mimi kushindwa kupata ruhusa ya kuingia bloguni mwangu aidha kwa matatizo ya kiufundi ya provider wangu au kwa mtandao ninaotumia au vyote kwqa pamoja. Cha msingi ni kuwa sasa nimeweza kurudi hewani. Na suala lenyewe lilikuwa nje ya uwezo wangu hivyo nawaomba mniwie radhi na muendelee kuingia humu na kujipatia habari kemkem nilizowaandalia.Cha msingi na kushukuru ni kuwa sasa nimeweza kurudi hewani. Ahsanteni!

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :