News
Loading...

Usafi vipi uwanjani?Viti kama uvionavyo!
 Kama uonavyo hapo kushoto pichani viti havisafishwi na hali hii si mara moja kuikuta mara karibu zote niendapo hapo uwanjani hali huwa hii hii sasa usipokumbuka kwenda na leso imnakula kwako. Sielewi kwa nini mpaka leo uwanja bado hauna mwendeshaji, kwa sababu sasa kwa kipindi hiki huna wa kumlaumu ila serikali, lakini uwanja ukiwa chini ya Kampunio filani ya kuuendesha basi bila shaka hatutoukuta tena katika hali hii.

CHINI
Adha hii ndiyo niliyoiongelea jana watu wamelipa buku lakini sh 1000/= wanapenya huko wanapoingilia mpaka wanafika huku VIP palipolipiwa sh 30,000/= kwa kichwa. Hapa huyu askari ameamua awaache wasimame hapo na watazame mpira, hali hii inabeza uwanja huo kuwa na viti elfu sitini kwa kuwa siku husika uwanja uliigiza watu wapatao 35.000 hivi. Hivyo nafasi zilikuwepo. Hivi hili hawakuliona walipokuwa waki design huu uwanja yaani watu kupata uhuru wa kuranda randa humo uwanjani? Ka jamani nyie MWE!!!

Askari polisi akiwa ameegeukia upande wa mlango.


FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :