Hivi unajua kuwa inawezekana kubwata kote hamna hata mhusika mmoja anasoma upuuzi huu? Ha ha haa!
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
6 comments :
TUNAKUSPMA SANA TU KAZA BUTI NDUGU YANGU
Tupo tunakufuatilia kila siku ndugu. Usife moyo. Weka picha zaidi
tunasoma mjomba usione kimya. Rashid - Copenhagen
Nimependa BLOG yako MKALA kwani una reality zaid habari za bongo kuliko blog zote za uzushi kweli nimeamini mwana mkereketwa ,msafiri wa zamani..na mwenye mtazamo zaid kuliko ,dats reality and wapi tunaelekea life yetu bongo...na duniani kote.tuko pamoja uncle MKALA,,,MDAU CORK CITY IRELAND
DUH kweli usiyoyajua kweli usiku wa giza bongo, nimelipenda mno au nimependa sana BLOG yako ina ukweli mtupu wa maisha ya ugaibuni, na bongo kwajumla ,,mwaga mwaga kaka MKALA..
mdau BELFAST
ebwana weee kweli Mkala umechambua maisha ya bongo na hali halisi ya bongo..tuko pamoja homie..Mdau DUBLIN
Post a Comment