Daraja lenye urefu wa mita mia 720 na upana wa mita 13.5
Kabla ya daraja kujengwa magari yalivushwa hivi
DarajaDaraja la
Umoja ndio daraja refu kuliko yote Afrika Mashariki na kati, Daraja hilo
linaloziunganisha nchi za Tanzania na Mocambique lina urefu wa mita 70 la Umoja ndio daraja refu kuliko yote Afrika Mashariki na kati, Daraja hilo linaloziunganisha nchi za Tanzania na Mocambique lina urefu wa mita 720 na upana wa mita 13.5. Urefu wa mita mia saba ni sawa na viwanja saba vya mpira wa miguu.
0 comments :
Post a Comment