News
Loading...

Usalama barabarani!


Kigogo rd karibu na ofisi ya Mkuu wa Mkoa.
Yale yaleee! gari tatu zote zimesimama upande ambapo ni kinyume na sheria za barabarani za wakati wote si ile ya mwaka 1977 tu, yaani hapa gari zote hizi zipo upande wa kulia badala ya ule wa kushoto. Hii inaonesha jinsi gani ilivyo Tanzania haina madereva makini au niseme leseni holela ni nyingi mno! na haya yasipofuatiliwa na kushuhulikiwa na wahusika tutaendelea kuchinjwa katika high ways mpaka tukome!

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :