Taka hizi ni zile zile za mwezi wa kumi mwaka 2010 wakati nikifungua blogu hii bado zipo zipo kwanza, mpaka wakati wa kampeni nafikiri haswa ndio muda muafaka wa kuziondosha toka miferejini. Loh ingekuwa Zanzibar nisingeeleweka hata kidogo, Mfereji ni bomba la maji pande zile!
0 comments :
Post a Comment