News
Loading...

Je wajua?


Rais  wa wamu ya pili Mh Ally H. Mwinyi.
Mpenzi mdau unafahamu kuwa Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi ndiye aliyeruhusu pasi za kusafiria zitoke kwa kila raia, vituo vya redio na runinga binafsi, magazeti binafsi na mengi mengine ambayo siwezi yakumbuka mara moja lakini huyu ndiye aliyeifungua Tanzania katika kila kitu, na katika kuifungua nchi  pia kuna athari ambazo hujitokeza na zipo nyingi zilizojitokeza katika utwala wake. lakini yote ni maisha na napenda kumpongeza kwa yote mema aliyoyafanya kwa nchi hii Mheshimiwa huyu. Ally Hassan Mwinyi alitwaa madaraka toka kwa hayati Mwl J.K. Nyerere mnamo mwaka 1985 pale Mwalimu alipoamua kung'atuka na kutoka katika kiti cha urais wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania na kumpisha Ally Hassan Mwinyi.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala26

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :