Mpendwa mdau kwa niaba ya Amin Mwinyimkuu nakuomba umpigie kura moja kwa siku mpaka siku ya mwisho kupiga kura ambayo ni 23/March/2011 ili aweze kushinda tunzo ya Kili Music 2011, ili kumpigia kura Amin NA wimbo wake WA BADO ROBO SAA ushinde tunzo ya wimbo bora wa ZOUK/RHUMBA tuma sms kwenda
Na kwa waliopo nje ya Tanzania waende katika mtandao www.teentz.com
au tuma barua pepe kwenda
Tunzo za KILI MUSIC zitafanyika tarehe 26March2011
ktma@innovexdc.com Kwa niaba yake natanguliza shukurani!
1 comments :
amin uko juu umepata kura yangu
Post a Comment