News
Loading...

Likaribishe jiji la Upanga mwaka 2025!






Jengo hili lipo United Nations Rd






Sidhani kama unahitaji uwe na utaalamu wa kutabiri kama Sheikh Yahya Hussein ili ujue eneo la Upanga west linakuja kuwa jiji miongoni mwa jiji la Dar es Salaam, na hizo picha kushoto eneo la Upanga west linakuja kuwa jiji miongoni mwa jiji la Dar es Salaam, na hizo picha kushoto eneo la Sidhani kama unahitaji uwe na u taalamu wa kutabiri kama Sheikh Yahya Hussein ili ujue Upanga west linakuja kuwa jiji miongoni mwa jiji la Dar es Salaam, na hizo picha kushoto nilisemalo. Lakini je mwananchi wa kawaida atafaidikaje na jiji hilo jipya? Ataweza ishi kwenye moja ya majengo hayo? Jibu ni rahisi hapana, labda afaidike na kuwa mmoja wa vibarua wa kubeba zege katika majengo yale ambayo yanajengwa kwa sasa kama ionekanavyo pichani, ambapo Sidhani kama unahitaji uwe na utaalamu wa kutabiri kama Sheikh Yahya Hussein ili ujue eneo la Upanga west linakuja kuwa jiji miongoni mwa jiji la Dar es Salaam, na hizo picha kushoto na juu ni ushahidi tosha wa hilo nilisemalo. Lakini je mwananchi wa kawaida atafaidikaje na jiji hilo jipya? Ataweza ishi kwenye moja ya majengo hayo? Jibu ni rahisi hapana, labda afaidike na kuwa mmoja wa vibarua wa kubeba zege katika majengo yale ambayo yanajengwa kwa sasa kama ionekanavyo pichani, ambapo nafikiri kama bei zake zitakuja kuwa nafuu labda kwa sh milioni mbili (2,000,000) kwa nyumba ya chumba kimoja yaani ($ 1500 for one bedroom flat). Mengi ya majengo haya yapo katika barabara ya Mindu iliyo karibu na Hospitali ya Taifa Muhimbili.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala26

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :