Mwendesha baiskeli akipita barabarani. |
Badala ya kupita katika ujia huu rasmi na salama kwake. |
Bwana huyu hapa kushoto pichani ameamua kupita barabarani akiendesha baiskeli yake badala ya kupita katika ujia rasmi tena mpya kwa wenda kwa miguu na waendesha baiskeli aka injini kiuno, sijui askari wa usalama barabarani wanapaswa wamtoze faini kwa kukiuka sheria na taratibu za usalama barabarani, au watu wa namna hii waachwe waendelee kuleta usumbufu na kuhatarisha maisha yao na ya watumiaji wegine wa highway hizo?
0 comments :
Post a Comment