News
Loading...

Aliyekunywa dawa ya Babu Ambilikile atoa ushuhuda!


Mchungaji mstaafu Mwasapila

Msururu wa magari huko Samunge.
Mdau mmoja wa globu ya jamii inayoendeshwa na Ankal Michuzi ametoa ushuhuda wake kuwa dawa ya babu haiponyi chochote, yeye ni muathirika wa HIV/Aids alipokunywa dawa hiyo akaacha kutumia ARV's zake baada ya muda hali yake ikawa mbaya akarudishwa hospitali na kuanza tena kutumia ARV's na hali yake imekuwa nzuri kiafya kwa sasa. Ushuhuda huu unatuambia nini juu ya vikombe vya dawa vilivyotapakaa nchini? Kwa habari zaidi mcheki ankal Michuzi katika blogu ya jamii.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :