News
Loading...

Extra Bongo wapata ajali mbaya asubuhi ya leo!


Ally Choki.
Bendi ya muziki wa dansi ya Extra Bongo imepatwa na ajali mbaya asubuhi ya leo katika mataa ya Magomeni, Mkurugenzi wa bendi hiyo Ally Choki ametanabahisha. Inasemekana chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa dereva wa basi la aina ya Coaster iliyobeba wanamuziki hao kukatisha katika makutano bila kuangalia upande mwingine, Ally Choki amethibitisha kuwa wanamuziki wawili ndio wenye hali mbaya baada ya kujeruhiwa vibaya na wamelazwa katika hospitali y Muhimbili jijini Dar.
Habari zaidi mceki Ankal Michuzi

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :