News
Loading...

Muungano niuonavyo mimi.


Mwl J.K. Nyerere na Mzee Abeid Aman Karume watia sahihi kuziunganisha Tanganyika na Zanzibar.
Kumekuwa na kelele nyingi juu ya muswada wa katiba mpya mara baada ya kuwasilishwa, huku ndani muswada wenyewe kukiwa na kifungu kinachokataza wananchi kuondoa mambo muhimu yakiwemo muungano, urais pamoja na uwapo wa serikali ya mapinduzi Zanzibar na mengine mengi. Ninachotaka kusema kabla ya yote Muungano haukuletwa na Mungu na sote tunalijua hilo, sasa wahusika wanapoanza kuweka ukomo katika kujadili na kutunga katiba mpya inashangaza kwa kweli. Muungano ujadiliwe na kero zake ziondoshwe ili tuwe na muungano wa wananchi na sio wa viongozi huu uliopo. Kwa mtazamo wangu napendekeza mambo kadhaa:
1. Pawe na serikali 3 au 1.
2. Mtanganyika aweze kutawala Zanzibar kama wanavyoweza wa Zanzibari kutawala Tanganyika. Yakisharekebishwa hayo na mengine mengi hapo tutapata katiba na muungano wa wananchina pia tutajua hatima ya Zanzibar kuwa na jeshi lake yenyewe, mwimbo wa taifa pamoja na bendera.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala26

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :