News
Loading...

Bwawa katikati ya jiji.


Bwawa dogo kati kati ya jiji.

Hapa ni opposite YMCA na CitiBank.
Ubovu wa njia za maji jijini Dar leo uliendelea kuleta usmbufu mkubwa kwa waenda kwa mguu na watumiao magari, sijui tatizo hilo haielekei kuwa litapatiwa ufumbuzi katika miaka hii ya karibuni kwani limekuwa likiendelea kutokea kila inyeshapo mvua.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :