News
Loading...

Moshi wa rangi ya chungwa wazua mshangao Kariakoo!


Polution in Dar es Salaaam.
Leo hii mchana maeneo ya Kariakoo katika kilele cha jengo moja la ghorofa nane hivi palionekana moshi wenye rangi ya chungwa ukifuka, moshi huo ulioonekana kutokea katika bomba maalum uliwafanya watu wengi kushangaa ni vipi moshi wa rangi hiyo ufuke juu ya jengo hilo, wengine walidai pana kiwanda huko kileleni mwa jengo hilo.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :