News
Loading...

Hali ilivyo Kinondoni Msufini kufuatia mvua zinyeshazo Dar!


Pichani ni eneo la bondeni karibu na bwawa katika eneo la Msufini, maeneo hayo hayo ambayo tangu mvua zianze kunyesha jijini hapa kumekuwa na tuamisho la maji hayo na kwa kuwa hayana pa kwenda yameanza kuoza na ni dhahiri pia yanachanganyika na majitaka ya nyumba nyingi za eneo hilo vile vile yanaweza yakasababisha magonjwa ya milipuko kama kipindupindu nk. Napenda kushauri serikali kupitia idara zake za ustawi wa jamii na mazingira wafike sehemu hizo kuona uwezekano wa kunyunyiza hata dawa za kuua vijidudu ili kupunguza athari zinazoweza kujitokeza.

Nyumba hii imezungukwa na maji hayo machafu.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :