News
Loading...

Hivi TFF wanafaidikaje?


Jezi za Taifa stars.
Jijini na Dar na kote nchini unakuta hizi jezi za Taifa Stars za kila aina na rangi tofauti zinauzwa kila mahala lakini haieleweki TFF wanawezaje kujua ngapi zimeuzwa na ngapi zimebaki, kifupi hakuna control ya hizo jezi. Nashauri TFF waanze kudhibiti utengenezaji, uuzaji na ukusanyaji wa mapato yatokanayo na jezi hizo. Kwa sasa inaelekea hata mimi naweza toa oda ya ya jezi hizo na nikaanza kkuza bila udhibiti wowote.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :