News
Loading...

Kolo Toure afungiwa miezi sita


Kolo Toure.
Mlinzi wa kutumainiwa wa Mancheser city hatimaye amefungiwa kujihusisha na soka kwa muda wa miezi sita. Toure ambaye alikuwa amesimamishwa kucheza soka baada ya kufeli jaribio la madawa ya kuongeza nguvu amepata adhabu dhaifu ukifananisha na wengine waliopata kuadhibiwa kwa kosa hilo. Na atarudi uwanjani mnamo mwezi September. Toure alidai kuwa alitumia dawa za mkewe zenye kupunguza uzito lakini kumbe zilikuwa na chembe chembe zilizopigwa marufuku kwa wanamichezo.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :