News
Loading...

Salon ya vitambaa Urambo!


Salon hiyo kwa nje.

Na huu ni muonekano wa ndani.
Jumapili nimeshuhudia salon ya mtindo mpya mjini Urambo, pichani ni salon ya kijana mmoja mjini humo ambaye inaelekea baada ya kushindwa kukodi mlango ili afungue salon yake akaamua kuzungusha vitambaa kwa mfano wa jengo lisilo na paa na kuendelea na shuhuli yake ya unyozi. Hongera kijana kwa ubunifu!

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :