News
Loading...

Hatimae Halmashauri yasikia kilio changu!


Hii ni barabara ya Dunga Kinondoni B maeneo ya kwa Edi Baba baada ya ukarabati, mwezi uliopita nilipapigia kelele sana mahala hapa ambapo lami iliharibiwa na mvua zilizokuwa zikinyesha jijini. Mungu si Athumani wahusika wamesikia kilio changu na kupafanyia ukarabati pahala hapo. Hongera halmashauri ya wilaya ya Kinondoni.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :