Halooo jamani shostito Anti Jay! |
Aka babu we! magumi ya nini? Mambo taratibu! |
Hapa mashoga wakipongezana |
Pichani ni askari jeshi wa Marekani wakiwa katika gwaride lenye dhamira ya kuonesha ushoga usio na kificho katika jeshi la Marekani jijini San Diego 16 Julai 2011. Gwaride hilo lilipewa jina la SAN DIEGO'S GAY PRIDE
3 comments :
DUH.... ALAFU JESHI HILO HILO NDIO LINATUPA MISAADA! JAMANI KIAMA HIKI.. SIJUI TUNASEMAJE SASA HAPO? KWAMBA TUMECHANGANYWA TUSUBIRI KUFA WOTE WALAHI.. MWANAUME UNALEGEA HIVI! HATA KAJINGUVU KA MFUPA KWISHA... LOH MUNGU TUNUSURU
Tatizo haya mambo yao machafu wanayalazimisha kwa makusudi ili yakubalike duniani, yaani mpaka UN yanazungumziwa ili nchi nyengine zikubaliane nazo.Wanachukia nchi zinazo pinga haya mambo lakini wao wanayalazimisha sasa sijui nani ana fuata "human right".Kwasababu ukimfundisha mtoto wako mambo haya na kumwambia achague vile atakavyo au umwambie mambo yale ni kawaida tu na mtoto achague vile atakavyo,hivi hapo nani kamuonea mwenzake?Kwasababu mtoto anatakiwa aongozwe ktk malezi bora kwa faida ya baadae.Kama bunge la uingereza kuna wabunge wamejitangaza 22 hadharani ya kua ni GAY'S tena wameamua kuwaacha wake zao na watoto kwa sababu wameamua kuwa hivo na ni maamuzi yao.Kazi kwelikweli na mwenyezimungu atunusuru na vizazi vyetu.
Mimi kwa kweli hata la kuongeza sina, nimechoooka na mtazamo wa jeshi hili la Mmarekani.
Post a Comment