News
Loading...

Baada ya Yanga kuiomba Voda, TFF yaiwekea ngumu.


George Rwehumbiza
Sakata la Yanga kugoma kuvaa jezi zenye nembo yenye rangi nyekundu ambayo ndiyo rangi ya mdhamini Vodacom limeingia katika hatua nyingine baada ya Yanga kumuomba mdhamini abadilishe rangi nyekundi kuwa nyeusi. Habari ambazo hazijathibitishwa zimedai kuwa Vodacom wamekubali ombi hilo la Yanga, lakini alipoulizwa Mkurugenzi wa mawasiliano wa kampuni hiyo Bw George Rwehumbiza hakukubali wala kukataa kuwa wameikubalia Yanga ombi hilo. Katika hatua nyingine imebainika kuwa TFF wamesisitiza kuwa hawatoruhusu makubaliano yeyote kati ya Yanga na Vodacom kwa kuwa wao ndio wenye jukumu la kufanya makubaliano na mdhamini, hivyo basi wao watachukua hatua zilizoainishwa ndani ya kanuni za TFF dhidi ya mwanachama yeyote atakayekiuka kanuni hizo.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala26

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :