News
Loading...

Twanga Pepeta kipindi cha sikukuu ya Eid El Fitr



Bendi the African Stars imetangaza ratiba yake ya kipindi cha sikukuu ya Eid el Fitr ambapo Idi mosi watakuwa Mango Garden kuanzia mchana kwa show ya watoto kwa kiingilio cha sh 1000/= kila mtoto na wakubwa watachangia sh 5000 tu. Idi pili watakuwa TCC Chang'ombe halikadhalika Idi tatu watakuwa Harbours Club Kurasini.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala26

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :