News
Loading...

Ofisa habari wa TFF anapojibu waandishi mkasa


Ofisa habari wa TFF
Ofisa habari wa TFF Bw Boniface Wambura alionekana kuudhiwa na makamu wa mwenyekiti wa Simba Bw Nyange Kaburu pale alipozungumzia kuishangaa Klabu ya Yanga ambayo iligoma kuvaa jezi zilizotolewa na mdhamini wa Tanzania Premier league, Vodacom kwa kuwa nembo hiyo ina rangi nyekundu na nyeupe, rangi ambazo huvaliwa na mahasimu wao Simba Sports Cub. Wambura alisema"suala la Yanga wao Simba linawahusu nini? akaendelea "sisi tushatoa msimamo wetuna tumewaandikia barua Yanga, hatua zuitakazofuata ni kuwachukulia hatua iwapo wataendelea kukaidi" Labda Bw Wambura anasahau kuwa kuna uhuru wa maoni (Freedom of speech) kila mtu ana uhuru wa kuongelea chochote alimradi hamtukani mtu au kuvunja sheria au yeye Wambura kwa nini audhiwe na Kaburu kuizungumzia Yanga? Au ni kanuni mpya ya TFF ambayo hairuhusu kiongozi wa timu fulani kuiongelea timu nyingine?

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala26

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :