Haya ni makazi ya askari polisi. |
Unaweza tu ukajiuliza tu kuwa kama askari polisi tena mwenye cheo cha koplo anaishi katika hema chovu kama hili atashindwaje kuchukua rushwa ili aweze kujikwamua na kupata makazi bora za ya hayo tuyaonayo pichani. Kungekuwa na ubaya gani wabunge wetu wangekubali kuondolewa posho za vikao ili wafanyakazi muhimu kwa jamii yetu ya Tanzania kama askari polisi, wauguzi na waganga wangepatiwa makazi bora? Ama kweli pesa hazibanani!
0 comments :
Post a Comment