News
Loading...

Simba yakataa uteja kwa Yanga, yaibugiza bao 2-0


Felix Sunzu, Patrick Mafisango na Emmanuel Okwi wakishangilia

Nahodha wa Simba Juma Kaseja akipokea ngao ya jamii toka kwa       makamu wa Rais wa TFF Athumani Nyamlani.  

  
Timu ya Simba ya jijini Dar, usiku huu imefanikiwa kutwa Ngao ya jamii ya kwanza kushindaniwa hapa nchini, Simba imeshinda ngao hiyo baada ya kuwachapa watani zao wa jadi Yanga pia ya jijini kwa magoli mawili kwa sufuri. Magoli hayo yalifungwa na Haruna Moshi mnamo dakika ya 16 baada ya kupokea pasi safi tokakwa Felix Sunzu, na bao la pili liliofungwa na Felix Sunzu kwa njia ya penelti baada ya Haruna Moshi kuangushwa katika eneo la hatari ndipo mwamuzi Israel Nkongo akaamuru ipigwe penelti hiyo mnamo dakika ya 39 ya kipindi cha kwanza. Mpaka filimbi ya mwishomatokeo ni Simba 2 naYanga 0.

Picha zote kwa hisani ya Michuzi blog.

Hapa wakishangilia goli la kwanza lililofungwa na Boban


FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :