News
Loading...

Totenham Hotspurs yakaribia kukubaliwa kuikarabati Whitehart lane


Kilabu cha soka cha Totenham Hotspurs chenye makazi yake kaskazini mwa jiji la London kinatarajia kuukarabati uwanja wake wa sasa White Hart Lane uwe mkubwa na wa kisasa zaidi. Hivi sasa uwanja huo unachukua watu elfu 36 tu lakini mara ukifanyiwa ukarabati utakuwa na uwezo wa kuchukua angalau watu elfu 50 mpaka elfu 65 hivi.Mazungumzo yanaenda vema na mamlaka za Totenhan na halmashauri ya ya Haringey ilipo stadia hiyo kongwe

White Hart Lane stadium itakavyotazamika kwa juu.

Mtazamo mya wa ndani stadia hiyo utakavyokua
White Hart Lane ilivyo sasa.



FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala26

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :