Man city trainning complex karibu na Etihad stadium
|
- Kitajengwa katika eneo lenye ekari 80
- Patakuwa na viwanja 15 vya kawaida na viwili vyenye nusu ya ukubwa wa kawaida
- Patakuwa na uwanja utaoweza kuchukua watu 7000 watakaokaa vitini
- Patakuwa na uwezo wa kufundisha watoto 400 kwa wakati mmoja
- Patakuwa na vyumba 32 vya timu ya kwanza (Man city) vile vile 40 vya timu ya watoto
- Patakuwa na ofisi za wafanyakazi na kituo cha habari
- Patakuwa gym kwa ajili ya timu ya kwanza na mahala pa kufanyia mazoezi kwa wachezaji waliopona majeraha( rehabilitation room)
- Pia Manchester city itaacha eneo lenye akari tano kwa ajili ya ujenzi wa shule ya sekondari.
0 comments :
Post a Comment