News
Loading...

CCM wawe waangalifu au watapoteza makada wazuri


Bw Reginald Mengi: Atapenda kuiongoza nchi yake.

Mh Sitta anakubalika na wananchi.
Pamoja na vugu vugu la wabunge wapinga ufisadi (Sitta na wenzie) kufifia kwa kipindi hiki lakini ni dhahiri CCM imekalia kuti kavu. Kuti kavu kwa maana kuwa tunapoelekea uchaguzi wa mkuu wa 2015 ambao natabiri utakuwa wa ki historia kwa mambo mengi yatakayotokea, CCM haitokuwa tena na nguvu ya kuwatisha makada wake wanaopinga ufisadi na wale wasema kweli kuwa itawafukuza chama, tendo hilo litakuwa kama kumtishia nyau mtu mzima kwani wengi wao ama wataunda chama, watahamia CHADEMA au wataamua kugombea kama wawakilishi huru ambapo hawatahitaji kuwa na Chama ili wagombee nafasi za uongozi ikiwamo Urais, ubunge na udiwani. Na hili litafanikishwa na katiba mpya ambayo itakuwa imekwishapatikana kabla ya mwaka 2015. Kipengele cha  mgombea huru kinaweza kutuletea mshangao pale Bw Reginald Mengi wa IPP atakapogombea urais na pia haitonishangaza kama Samuel Sitta atogombea urais kupitia ama chama kipya au chama kilichopo!

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala26

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments :

Jigambe Team said...

kweli kawa style hii ccm wanavyo enda kweli watapoteza kada zao but ukijaribu na hizi ndugu yangu kama www.tanzaniakwetu.com na www.jigambeads.com i think it will be good!