News
Loading...

Ushindi wa CCM vijijini una walakini?


Hali ni ngumu!
Mwenyekiti wa CCM Taifa
 Mh Jakaya Kikwete
Pamoja na CCM kushinda kwa tofauti ya kura elfu 3000 katika uchaguzi wa mdogo wa Igunga, bado wataalam wa mambo ya siasa wakiwemo makada wa chama hicho wanadai hali ni mbaya mno kwa Chama hicho kikongwe Afrika, na upo ulazima chama hicho kiitishe mkutano mkuu wa kujadili hali hiyo inayotishia mustakabali wake katika uchaguzi mkuu wa 2015. Wapo wale wanaotilia shaka ushindi wa Igunga kuwa si ushindi wa kujivunia kwa kuwa ushindi huo umepatikana maeneo ya waTanzania wasio na uelewa mkubwa wa suala zima la siasa lilivyo kwa sasa na wapo wale ambao wanoona ushindi ni ushindi tu.

Ukweli unabaki kuwa CCM imepoteza umaarufu hasa mijini ambapo wakazi wake wengi  ni waelewa zaidi na hawarubuniki kwa fulana, khanga na kofia za kijani, huhitaji kuwa mtaalam wa nyuklia kujua nini kimekiangusha chama hicho. 

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala26

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :