News
Loading...

Baada ya CCM kushinda Igunga, Kifo asili chaisogelea CUF?


Dk Kafumu Dalali alionesha
 cheti cha ushindi.
Baada ya Chama cha mapinduzi kushinda kiti cha ubunge katika jimbo la Igunga na kukiacha chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA na wafuasi wake wasielewe wamekosea kitu gani mpaka wakakikosa kiti hicho. Binafsi napenda kukipongeza CCM kwa kushinda lakini pia nawapongeza CHADEMA kwa kupigana kiume na hatimae CCM wakashinda kwa taabu lakini kwa uhakika. Changamoto ipo kwa CUF, chama cha wananchi kinaelekea kimepoteza mwelekeo kabisa kwani marejesho ya kura 2000 na kidogo ni anguko kubwa mno kwa mgombea aliyepata kura elfu 11 katika uchaguzi mkuu 2010.na hasa ukizilinganisha na kura 26000 za CCM na 23,000 za CHADEMA . Nilipata kuandika siku za nyuma kuwa ndoa ya CUF na CCM visiwani Zanzibar itaiua CUF Bara.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala26

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :