Miss Jestina akijivunia bendera ya Tanzania. |
MISSJESTINAGEORGE.BLOGSPOT.COM huko Ughaibuni na kwa bahati nzuri kwetu sisi wa Tanzania blog yake imechaguliwa kuwa moja ya blog kadhaa zitakazo wania kuibuka na ushindi wa BLOG OF THE YEAR katika tunzo za BEFFTA . Hivyo basi kwa niaba yake nawaomba wa Tanzania wenzangu tumpe kura zetu ili ashinde tunzo hiyo adhimu. Ili kumpigia kura tembelea WWW.BEFFTA.COM/VOTING, jaza fomu kisha bofya news4.Blog of the year na katika nominee bofya Miss Jestina George ili uwe umeipigia kura blog yake ishinde kisha bofya SUBMIT YOUR VOTE.
Natanguliza shukurani,
Mkala Fundikira
0 comments :
Post a Comment