News
Loading...

MISSJESTINAGEORGE.BLOGSPOT.COM yachaguliwa kugombea tuzo za BEFFTA Uk


Jestina akiwa na naibu spika
 Mh Job Ndugai jijini LondonMISSJESTINAGEORGE.BLOGSPOT.COM imechaguliwa kuwa mojawapo ya blogs ambazo zitakazo chuana vikali katika kuwania ushindi  wa kutafuta BLOG ya mwaka katika tuzo za BEFFTA (Black Entertainment Film, Fashion, Television and Arts) zitakazofanyika tarehe 22 Octoba 2011 hapa jijini London.

Kwa heshima na taadhima zote naomba wadau tuipigie kura ili blog yetu iweze kupata tuzo hii muhimu. Hii ni Blog pekee kutoka Tanzania  kuingia katika kinyang'anyiro hiki. 

Jinsi ya kupiga kura ni rahisi tu tembelea www.beffta.com/voting utaona fomu ya kujaza andika jina lako, email yako, halfu chini ya Category chagua News 4. Blog of the Year na kwenyeNominee  chagua Miss Jestina George. Baada ya hapo bofya Submit Your Vote.

Blog ya www.missjestinageorge.blogspot.com ina husika na Mambo ya Urembo, Mitindo, Sanaa na Matukio Mbalimbali na Motomoto kutoka kila pande za dunia.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wale wote ambao watakaoweza kunipigia kura na hata wale wambao hawata weza kunipigia kwa sababu moja au nyingine.

Asanteni sana na wote Mbarikiwe.
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Wabariki Watanzania
Jestina George

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :