News
Loading...

EUGENE ENGELBETH (MATIPA) Hatunaye tena!


Marehemu Eugene Engelbeth enzi ya uhai wake
Kijana Eugene Engelbeth Matipa amefariki muda mfupi uliopita mjini Tabora ambako amekuwa akiugua kwa muda mrefu maradhi ya moyo kuwa mkubwa. matipa ambaye ni mwenyeji wa Tabora na amekuwa akiishi maeneo ya Neshno (National) mjini humo. Taratibu za mazishi zinafanywa kwao Neshno mjini Tabora mara zikipatika tutaendelea kujuzana humu na katika mtandao wa FACEBOOK! MUNGU Ailaze roho yake pahala pema peponi! Amen!

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

2 comments :

Harris said...

Gone too soon.
Rest in Peace big bro!AMEN

Mkala Fun said...

@Harris. He once told me" Unajua huu moyo utakuja kuniua siku moja, juzi na jana nimeumwa sana ndio maana ukaona sikuwa napatikana katika simu.He knew how bad his heart was. Mungu amlaze mahala pema peponi! Amen!