News
Loading...

Hili nalo neno!


Picha hii inaonesha kinachoimbwa na hali halisi.
Tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele ni kauli ambayo imekuwa ikitumika sana hasa kipindi hiki cha kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa Tanzania bara lakini pia imekuwa haiendani na hali halisi ya maisha ya wa Tanzania walio wengi. Labda tu serikali iangalie penye mapungufu na kuyafanyia kazi hasa tatizo la umeme. Si uongo kuwa serikali za awamu ya pili mpaka ya sasa zimeweza kufanya mambo mengi ya ki maendeleo ikiwemo miundo mbinu hasa ya barabara, hapo serikali inastahili pongezi za dhati kabisa. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika!

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment