News
Loading...

Mvua inavyotesa maeneo ya Kinondoni Msufini


Hii ni jinsi mvua inavyotesa maeneo haya ya Kinononi Msufini

Hata hivyo hali hii ukiifananisha na maeneo ya mabondeni kama Mkwajuni na Magomeni na Jangwani hii ni kama vidimbwi tu, au kwa vingine tuseme ni kama sehemu kame kama Dodoma tu.
Mwenyekiti wa CCM wa zamani wa tawi la Msisiri Hamim Mkupete akionesha madharaya mvua zilizonyesha tangu jana alfajiri karibu na anapoishi Kinondoni Msufini leo hii mchana.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :