Hivi ndio hali ilivyo katika baa moja Magomeni jijini Dar
Baa nyingi mjini hapa zimekua na vyoo vichafu sana, hicho hapo chini ni choo katika baa moja iliyopo Magomeni kwa mtazamo huo nafikiri na harufu utakuwa umeshaipata! Hali ilikuwa mbaya zaidi siku za nyuma kwa sasa kuna unafuu wa usafi wa vyoo vy ma baa.
0 comments :
Post a Comment