News
Loading...

Kili Music awards 2012 ni timing bomb!


Kili Music awards 2012 inaelekea kuwa ni bomu linalosubiri muda wake lilipuke, nasema hivyo kwa kuwa mimi nimekuwa mmoja wa wateuzi wa wagombea wa tunzo hizo kwa miaka miwili mfululilizo 2010 na 2011 ambapo tulikuwa 100 katika ujumla wetu. Pamoja na wingi wetu huo bado malalamiko yaliendelea kutokea ikisemekana matokeo yamechakachuliwa, najiuliza ni nini kitatokea hivi sasa wamebaki wenzetu 50 tu kufanya kazi hiyo? Ukizingatia kazi ya uteuzi huo ilikuwa ngumu mno hasa ukizingatia kuwa wana akademi hawakuwa wakipatiwa listi za nyimbo zilizo katika mpangilio mzuri. Tusubiri tuone mfumo huu mpya utapunguza malalamiko kwa kuchagua washindi ambao watakubaliwa na wadau wa tasnia hiyo au la!

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :