News
Loading...

Malaria No MORE?


Malaria no more haiwezekani kwa hali hii.
Kama hali ijoneshavyo pichani juu, tutaendesha kampeni za kila aina lakini kama mifereji kama hii itaendelea kushamiri tukubali kuwa hatutoweza itokomeza Malaria, ambao ni ugonjwa unaoua binadamu kwa idadi kubwa kuliko ugonjwa  wowote duniani. Nailaumu serikali kwa kutohakikisha maji kama haya hayasimami na kuwapa mbu pa kuzaliana lakini pia nawalaumu wananchi wenyewe ambao wamekuwa vinara wa kutupa taka hovyo ambazo huziba mifreji kama hii na kusababisha maji kutuama. Maendeleo si majengo marefu na barabara kubwa la! maendeleo ni pamoja na utunzaji wa miundo mbinu kama mifereji na kuacha utupaji taka hovyo! 2012 Mwaka wako chagua kutunza miundo mbinu na kuacha kutupa taka hovyo!

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala26

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :