Hapa ni petrol station ya Total iliyopoKinondoni Morocco
Katika hali ya isiyoshangaza hapa jijini, mifuniko ya mfereji wa maji katika barabara ya Kawawa maeneo ya Morocco imevunjika muda mrefu na imebaki hivyo bila kubadilishwa jambo ambalo linasababisha usumbufu kwa watumiaji wa kituo hicho cha mafuta.Natumai baada ya hii habari kutoka humu hili tatizo litarekebishwa haraka iwezekanavyo na eneo hilo kupitika kirahisi kama ilivyokuwa hapo awali.
0 comments :
Post a Comment