News
Loading...

Ushahidi kesi ya Swetu Fundikira wafungwa


Mgalula Fundikira na Ben Kinyaiya kabla ya Ben kutoa ushahidi jana
 Leo jumanne upande wa mashitaka ukiongozwa na PP Katto ulifunga rasmi ushahidi.Baada ya mashahidi watatu muhimu Shahidi nambari 4 Dk Paul Ng'walali wa Muhimbili medical centre, Detective corporal Eustace na Assistant Inspector Paseans kutoa ushahidi wao katika kesi hiyo ya mauaji ya Swetu Fundikira inayowakabili Sajini Rhoda Robert, koplo Ali Ngumbe na Mohamed Rashidi ambao wote ni askari jeshi wa hapa jijini. Akitoa ushahidi wake mahakamani hapo Dr Ngwalali

Ndugu na jamaa wa marehemu wakisubiri mahakama kuanza.

Baadhi ya wasikilizaji wa kesi ya hayati Swetu Fundikira leo

Mtagwa na Chellu Fundikira na Msabila Mdachi mahakamani leo


FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :