News
Loading...

Samsung yaja na Galaxy camera!


Kampuni Nguli ya Korea Kusini ya kutengeneza vifaa vya ki elektroniki ya Samsung imejiandaa vema kungia mapambano ya kibiashara na kampuni pinzani za Ujapani. Na kwa kuonesha dhamira hiyo imezindua kamera mpya ya digitali yenye kumuwezesha mtumiaji kupandisha picha moja kwa moja kwa mtandao maarufu wa kijamii Facebook, Twitter na mingine mingi Kamera hiyo Samsung Galaxy camera hiyo ambayo imezinduliwa leo nchini Japani inapatikana katika maduka ya nchini England kwa pauni za nchi zipatazo 349 ina skrini yenye ukubwa wa nchi 4.8 na ina 21X Optical Zoom. Pia camera hiyo inamuwezesha mtumiaji kucheza game kuhariri picha mwendo na mnato.




  • 16.3MP image sensor
  • Optical Image Stabilisation
  • 21x Zoom Lens
  • 4.8-inch LCD touchscreen
  • Android 4.1 (Jellybean)
  • 802.11a/b/g/n 2.4GHz / 5GHz WiFi
  • GSM 3G , HSPA-PLUS


  • Read more: http://www.dailymail.co.uk/sciencetech/article-2240299/Samsung-takes-aim-Japanese-rivals-Android-camera-upload-pictures-directly-Facebook.html#ixzz2DcpjrWoK
    Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
    Kwa mbele

    Kwa nyuma


    FACEBOOK COMMENT

    Share on Google Plus

    Connect Mkala26

    Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
    FACEBOOK, |INSTAGRAM,
    .
      Blogger Comment
      Facebook Comment

    0 comments :