News
Loading...

Gonjwa la ajabuWisnu Chandra(57) raia wa Indonesia ambaye anaugua ugonjwa wa kuvimba malengelenge yasiyopasuka amekuwa akitafuta tiba kwa udi na uvumba lakini mpaka sasa hajafanikiwa

Kutokana na kutopata tiba kwa muda mrefu ameamua ajitokeze hadharani aambapo ataonekana katika kipindi cha televisheni katika Learning Channel 
"Watu hawajapata kunidhihaki kwa jinsi nilivyo lakini hunitazama na kunikwepa. Watu hunichukulia kiajabu sana," Alisema Wisnu
"Hali hiyo hunifanya nijisikie tafrani na mwenye hasira nyingi," aliongeza.
Alianza kupata manundu akiwa na miaka 19, he said.. Anasema alioa muda mfupi baadae na ndipo hali ikazidi kuwa mbaya.

Ilielezwa kuwa alipofikisha umri wa miaka 32 manundu yalianza kujaa usoni mwake.  
Wataalamu walimwambia Chisnu anasumbuliwa na ugonjwa ambao bila shaka ulisababishwa na upungufu wa vitu fulani katika mwili wake.  
Mwanzoni alipatiwa dawa nyingi za kupaka lakini hazikusaida hata kidogo.
Wakatu huo huo yeye na mkewe Nanik Tri Haryani, walifanikiwa kuzaa watoto wanne.
Chisnu alikuwa ana uhakika kuwa mkewe angemuacha kutokana na hali aliyonayo."Mimi nilikata kumuacha mume wangu Nanik alisema .
FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :