News
Loading...

Jaa la taka nje ukumbi wa taasisi Tabora


Jalala lisilo rasmi karibu na soko kuu
Katika hali ya kushangaza mamlaka husika hapa Tabora zimeachia taka zimerundikana nje ya ukumbi wa Taasisi kiasi kwamba inachusha hasa kipindi hiki cha mvua taka huweza kusababisha magonjwa ya mlipuko. Bila shaka wahusika wataziondosha taka haraka iwezekanavyo zisije leta madhara kwa wanaopita eneo hilo.

FACEBOOK COMMENT

Share on Google Plus

Connect Mkala Fundikira

Usikubali kupitwa na chochote kupitia mtandao huu, kupaya yote haya unahaki ya kuungana nasi sasa, Kuungana nasi BOFYA
FACEBOOK, |INSTAGRAM,
.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :